Wanajukwaa nahitaji kuwa na ngozi laini I'm mean soft kuliko hata ya mwanamke nitumie nini Kwa njia za asili
Tofauti Na
*mafuta ya nazi
*Kunywa maji mengi
*Kula mboga za majani
Taja njia zingine ambazo ni rafiki