Ngozi yenye mabaka

Joined
Sep 26, 2014
Posts
12
Reaction score
1
habari zenu wakuu...
*Naombeni msaada ngozi yangu ina mabakamabaka nahisi ni kutokana kupigwa na jua sana.

*Je ni njia gani naweza kuyatoa au cream gani nitumie.!?

Amani kwenu
 
Nunua vidonge vya cetakonazol na cream ya gentrisone ni dawa salama zinapatikana pharmacy
 
habari zenu wakuu...
*Naombeni msaada ngozi yangu ina mabakamabaka nahisi ni kutokana kupigwa na jua sana.

*Je ni njia gani naweza kuyatoa au cream gani nitumie.!?

Amani kwenu

nenda hospital doctor akaone hayo madoa yako vipi? hapa utapewa majina ya dawa kiholela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…