Nguchiro na Ngedere....nani anapaswa kudhibitiwa zaidi..?

kadeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,364
Reaction score
1,482
Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro.

Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au untouchable....Mimi uwa Nina amini malipo uwa ni apa apa Duniani.

Unatumia Kodi za nguchiro na Bado unawadhiaki awo nguchiro....aise!
 
Bila shaka ni nyoka kwani ni hatari hata kwa nguchiro japo nyoka ni kitoweo cha nguchiro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…