Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja vunja maduka wa wafanyabiashara, kwa siku wanaweza kuvuja hata maduka manne pasipo kumuogopa mtu.
Juzi wamevunja maduka maeneo ya njia ya ng'ombe bila woga. Nimesikia pia maeneo ya Ngulelo, wamevunja maeneo kadha wa kadha.
Kama mwananchi wa kawaida nina imani na jeshi la police na wakiamua wanaweza sana tu, ila sijajua changamota ipo wapi kwa sasa.