Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Mtu mweusi bhana!! Kinacho kuchekesha hapa nini sasa?😂😂Unalialia nini? Si mlisema mnawawezi baada ya ishu ya panyaroad
Criminals are very bright when you contain them from one angle they storm through a different route not identified to be potential security threats. They have got an alternate strategic plan to accomplish the illegal mission as they live through the malpractice. So, do not relaxHapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa...
What makes u laugh....matatizo ya wengine yanakuchekesha? Too bad.....😂😂unalialia nn ? Si mlisema mnawawezi baada ya ishu ya panyaroad
Turudi kule kuleHapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa...
This is a challenge to our police,to came up with new strategies to address that problem.Criminals are very bright when you contain them from one angle they storm through a different route not identified to be potential security threats. They have got an alternate strategic plan to accomplish the illegal mission as they live through the malpractice. So, do not relax
Kelele za nn vijana ? Nachek naona mnajiongelea vitu hamjui ,ishu ya panyaroad mlikuwa mnadanganyana eti walete huku kumbe hao walevi tu wanawashinda.What makes u laugh....matatizo ya wengine yanakuchekesha? Too bad.....
Jificheni chini ya meza yasiwaone.Hapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa...
Wanasema usichukue sheria mkononi,wakati jambazi kachukua sheria mkononiWananchi malizeni kazi. Petroli na tairi ziwe standby.
Watu lazima wacheke kwani matatizo makubwa kama haya serikali na baadhi ya wananchi wasio na uelewa mpana wanatumia njia za mkato kujaribu kupambana nayo. Hapa tulibishna sana na wajing waliokuwa wanasema kupiga risasi na kuua ndiyo njia sahihi ya kupambana na panya road.What makes u laugh....matatizo ya wengine yanakuchekesha? Too bad.....
Polisi wafanye kaz yao
Hao watakuwa vijana wa dar,wamekuja Arusha kutafuta wanaume wa kizunguKuna mtu alisema sasa hivi huko vijana wanavuliwa sana ubingwa na wazungu
Nimeishi Arusha zaidi ya miaka mitano sasa, mimi Kuna sehemu nyingi sana hasa uswazi uswazi sijawahi kufika . Kuna bomu la uhalifu limeanza kulipuka na tusiombee iwe Kama Ile Arusha ya Miaka Ile haipiti mwezi bila kusikia habari mbaya za tukio au matukio ya uhalifu mkubwa. Arusha vijana Wana usela nya sana , mabange halafu hawana shunguli za kufanya. Unga limited sijawahi kushuka nje ya gari, Ngulee ndio hiyo , daraja mbili , matejoo yaaniHapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja vunja maduka wa wafanyabiashara, kwa siku wanaweza kuvuja hata maduka manne pasipo kumuogopa mtu.
Juzi wamevunja maduka maeneo ya njia ya ng'ombe bila woga. Nimesikia pia maeneo ya Ngulelo, wamevunja maeneo kadha wa kadha.
Kama mwananchi wa kawaida nina imani na jeshi la police na wakiamua wanaweza sana tu, ila sijajua changamota ipo wapi kwa sasa.