Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Feb 12, 2020 #21 Pele anasumbuliwa na nyonga kiasi inampelekea kushindwa kutembea Kutokana na kushindwa kutembea ndipo amepata msongo Wa mawazo Kwa sasa Pele anatembea kwa wheelchair
Pele anasumbuliwa na nyonga kiasi inampelekea kushindwa kutembea Kutokana na kushindwa kutembea ndipo amepata msongo Wa mawazo Kwa sasa Pele anatembea kwa wheelchair
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Feb 12, 2020 #22 pilipili kichaa said: hata mie niliskia ktk bbc mwendokasi wakisema ni Abeid Pele! Click to expand... Hahahaha, BBC walitoa boko km ni hivyo
pilipili kichaa said: hata mie niliskia ktk bbc mwendokasi wakisema ni Abeid Pele! Click to expand... Hahahaha, BBC walitoa boko km ni hivyo