Pre GE2025 Ngumi na Vurugu kwenye Chaguzi za Ndani za CHADEMA ndio Ukomavu wa Demokrasia, enzi za TANU hatukuwa makondoo kama sasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi nachukulia vurugu na ndondi zinazoendelea kwenye Chaguzi za Ndani za Chadema kama Ukomavu wa Demokrasia ya Watu kukataa kuburuzwa

Na hiyo ni dalili njema kwa chama cha Upinzani Duniani kote

Vyama vingine bado vimejikita kwenye Siasa za Maneno mengi Matendo sifuri ndio vimegeuka kuwa Kusanyiko la CHAWA

Enzi za TANU nasi tukiwa TYL ilikuwa hakunaga kudanganyana wala kuleteana upuuzi yaani ukijichanganya tu unapata mkong'oto wa kutosha

Chadema endeleeni hivyo hivyo kama Wafuasi wa Trump πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ccm siyo ngumi tu hadi sumu wanawekeana.

Hivi yule jamaa aliyetandikwa bakora na Job Ndugai yuko wapi.
 
Yule Mdori kule bungeni anaishi na nani teh teh teh

Mwaka huu Shingo mjipange hizo ni jaramba tu kuibiwa kura MARUFUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…