Ngumi zafumuka Kwa Mkapa

Ngumi zafumuka Kwa Mkapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho .

Video hii hapa.

 
umeamua uchangamshe vyura wenzako baada ya kukosekana madibwi ya kulia lia
 
Video yenyewe ni fupi mkuu, nimeangalia mpaka mwisho bila kusogeza hata sekunde moja....sijaona kabisa huo mfumuko wa ngumi..hamna hata ngumi moja iliyorushwa
Umeona nini ?
 
Back
Top Bottom