Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sogeza mbele kidogoHuo mfumko wa ngumi upo wapi ? Au video imeishia katikati ?
Kumbe kitenge TV ....wala hakuna shida tushamzoea.Hii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho .
Video hii hapa .
View attachment 2106987
Mi mwenyewe nimetoka mbio nione hizo ngumi nakutana na interviewNgumi ziko wapi?.
Watch out part two, ni kama bongo muvi.Huo mfumko wa ngumi upo wapi ? Au video imeishia katikati ?
Video yenyewe ni fupi mkuu, nimeangalia mpaka mwisho bila kusogeza hata sekunde moja....sijaona kabisa huo mfumuko wa ngumi..hamna hata ngumi moja iliyorushwasogeza mbele kidogo
Ni hatari sana .Mi mwenyewe nimetoka mbio nione hizo ngumi nakutana na interview
Unazijua ngumi wewe?Hii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho .
Video hii hapa.
View attachment 2106987
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unazijua ngumi wewe?
Utakuja pakatwa na mkeo kuwa makini
Umeona nini ?Video yenyewe ni fupi mkuu, nimeangalia mpaka mwisho bila kusogeza hata sekunde moja....sijaona kabisa huo mfumuko wa ngumi..hamna hata ngumi moja iliyorushwa
Mashabiki wa Simba Hawaga akili siku zote nasemaHii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho .
Video hii hapa.
View attachment 2106987