M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Uzi tayari....!?Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango.
Mkishapiga mbege mnakuwa wajinga sana, hapo unajiona Yokozuna mbele ya Fidodido1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango.
2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wameweka kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.
Idadi ya watu ni muhimu kwa maendeleo sana.....China wameweza kutumia idadi hiyo kimaendeleo....1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango.
2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wameweka kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.
Ha ha ha ha ha haMarais wanne wametoka pwani
Hakika Mwenyekiti Mbowe mitano tena1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wameweka kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.
Mwenyekiti Mbowe, Mitano tena
Urais sio Elimu wala maendeleo, ni system tu inaamua...though it's the highest positionMarais wanne wametoka pwani
Visiwani itoe kaka.. Zanzibar ni next level kabisa kwa 3ast afrika hii1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii.
2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wamewekeza kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.
Mwenyekiti Mbowe, Mitano tena
Zanzibar ipi mkuuVisiwani itoe kaka.. Zanzibar ni next level kabisa kwa 3ast afrika hii
hahahahahahahahaMkishapiga mbege mnakuwa wajinga sana, hapo unajiona yokozuna mbele ya fidodido
Mnapenda sana kukuza mambo! Zanzibar na Pwani kwa ujumla kwenye tourism wako vizuri sana!Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Kuzidi nani? Hawawezi kufikia Kaskazini hata kidogo.Mnapenda sana kukuza mambo! Zanzibar na Pwani kwa ujumla kwenye tourism wako vizuri sana!
Bro unaongea kwa mihemko au unaongea kwa data?Kuzidi nani? Hawawezi kufikia Kaskazini hata kidogo.
Wanaingiza kiasi gani kuzidi Serengeti, Mlima Kilimanjaro na Ngorongoro?Bro unaongea kwa mihemko au unaongea kwa data?
Utalii Zanzibar ni mkubwa sana acha masihara wewe!
Hata international Flight Zanzibar ni kubwa kuliko huko Kilimanjaro!