Ngumu kumeza kwenu Clouds tv

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
128
Habari wakuu

Clouds ni moja ya kituo cha tv kinachopendwa na watu hususani vijana kwa muda mrefu sana imekuwa na mpangilio usioeleweka hususani vipindi vya live(mubashara)

wakitangaza itaanza saa 2usiku inaanza saa 5usiku mfano jana miss tanzania.Ushauri kwa clouds jitahidini kuwa na mpangilio mzuri katika maswala ya live na hata vipindi vianze kwa muda na muongeze ubunifu wenu bado jamii haijapata kile walichokitarajia kutoka kwenu ukilinganisha na ubora wa vipindi vya redio yenu na ubunifu usioisha kila siku,

Joseph kusaga ongeza uwekezaji kwenye television yenu katika mfumo wa studio bora zaidi vipindi vingi zaidi vipya katika television industry kwani tv industry bongo bado ina gap sana upande wa creativity au unaweza ukachukua vijana wengine wapya wenye idea mpya katika management ya tv yako na creative unit,kwani nguvu nyingi mnaelekeza sana clouds fm na kuisahau hii platform yenu nyingine...

Licha ya yote niwapongeze kwa baadhi ya vipindi kama Clouds 360 binafsi kinanifurahisha kwani kilileta mapinduzi katika vipindi vya asubuhi..

Nawasilisha.....
 
mnaposema clouds fm/tv inapendwa na vijana wengi huwa mnatumia data zipi!?
 
hii tv nimeanza kuichukia sana...matangazo ni mengi sana mpaka kero.unakuta kipindi ni cha saa moja basi matangazo yanatumia dakika 40
 
Lakini pia ukiangalia huo unaoitwa ubunifu ndani ya clouds ni ubunifu wa petty ideas na sio great ideas nadhani wanasafari ndefu sana kwa ujumla Chanel yao haina Content nzito nzito
 
Cloud TV + FM, hizi tafiti za kupendwa mnazitoa wapi mbona mnapenda kupendwa hivyo?

Sijaona ubunifu wa entertainment kwenye radio zaidi ya kelele.

(isiyokuwasha hujailamba kama utawashwa basi ntajua umelamba)
 
hii tv nimeanza kuichukia sana...matangazo ni mengi sana mpaka kero.unakuta kipindi ni cha saa moja basi matangazo yanatumia dakika 40

Hahahaah mi nilijua kwenye redio tu kumbe hata kwenye tv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
t
Hahahaah mi nilijua kwenye redio tu kumbe hata kwenye tv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo wanarudia tangazo lile lile sio mapya... sio kwamba huwa wanapenda sema ni delay ya mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…