Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanajukwaa,
Ninachojua ni kwamba ukilinganisha na mwaka 2015 ambapo battle ilikuwa Lowassa Vs Magufuli, mwaka 2020, muitikio wa watu kupiga kura ulikuwa ni mdogo mno.
Kutokana na rafu zilizotokea mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, mwaka 2020 wananchi wengi walikata tamaa kupiga kwani walijua fika kuwa mshinidi atakuwa nani.
Leo wakati nasoma ripoti ya Tanzania Centre of Democracy niliona kipengele kutoka kwenye ripoti ya TEMCO ambacho kilieleza kuwa wapiga kura mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu walikuwa Milioni 23 wakati mwaka 2020 wapiga kura walikuwa Milioni 29.
Hivi inawezekanaje kuwa mwaka 2015 kipindi ambacho hari ya uchaguzi ilikuwa kubwa kuliko chaguzi zote kuwahi kutokea kuzidiwa wapiga kura Milioni 6 na mwaka 2020 kipindi ambacho morale ya wapiga kura ilikuwa ni ndogo zaidi kuliko chaguzi zote?
Ni mimi nakuwa insecure au ndo kauli ya Uchafuzi ilikuwa ni kweli?