Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
NGUMU KUMEZA HII!!!!!!!!!!!!
***********************
Hivi, Kazi ya chupi ni nini?
Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi.
Sasa Chupi ni ya nini?
Naomba mnijibu
***********************
Hivi, Kazi ya chupi ni nini?
Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi.
Sasa Chupi ni ya nini?
Naomba mnijibu