Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Oct 29, 2016 #1 NGUMU KUMEZA HII!!!!!!!!!!!! *********************** Hivi, Kazi ya chupi ni nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini? Naomba mnijibu
NGUMU KUMEZA HII!!!!!!!!!!!! *********************** Hivi, Kazi ya chupi ni nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini? Naomba mnijibu
iw8 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 366 Reaction score 293 Oct 29, 2016 #2 Chupi hazina maana Utakuta kachupi ka Mia tano, Kanakuletea masimango ajabu Ikinasa Ikweta naambiwa KIPWITO. Nyeupe Ikichafuka Nikianika naambiwa najidharirisha kamba zipo uwani Njiani. Nikianika ndani Dr. Anasema Fangasi. Nikinunua nyeusi eti "mchafu" Ikitatuka pembeni nasingiziwa "CHUPI LAKO LIMETOBOKA KATIKATI"
Chupi hazina maana Utakuta kachupi ka Mia tano, Kanakuletea masimango ajabu Ikinasa Ikweta naambiwa KIPWITO. Nyeupe Ikichafuka Nikianika naambiwa najidharirisha kamba zipo uwani Njiani. Nikianika ndani Dr. Anasema Fangasi. Nikinunua nyeusi eti "mchafu" Ikitatuka pembeni nasingiziwa "CHUPI LAKO LIMETOBOKA KATIKATI"
MpiganiaUhuru JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 777 Reaction score 912 Oct 29, 2016 #3 Sawa, basi na tusivae chupi, kwanza sio desturi yetu sisi wabantu halafu pia zinavunja ndoa!
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Oct 29, 2016 Thread starter #4 MpiganiaUhuru said: Sawa, basi na tusivae chupi, kwanza sio desturi yetu sisi wabantu halafu pia zinavunja ndoa! Click to expand... Mi Huwa Sivai Chup Asee
MpiganiaUhuru said: Sawa, basi na tusivae chupi, kwanza sio desturi yetu sisi wabantu halafu pia zinavunja ndoa! Click to expand... Mi Huwa Sivai Chup Asee