Jaqen
Member
- Jun 29, 2018
- 53
- 69
Bob Marley aliwai kusema "the good thing about music, when it hits you, you feel no pain". Sikatai lakini...
Jana baada ya mechi ya yanga na kuchoma Cannabis Sativa kidogo niliingia local bar nikaagiza Pilsner bariidiiii. Nikaendelea kuilamba asteaste nikiskiza Rhumba safi za kitambo na kuosha macho bila wasiwasi...
Vunja mifupa kama Bado meno ikoooo,
Vunja mifupa kama Bado meno iko,
utakuja lia ukoshapoteza muda wakoooo,
Utakuja lia ukoshapoteza muda wako...
Aliskika Samba Mapangala kwa uzuri kwenye spika kubwa za bar. Kama ananiona vile, Jobless wa miaka 28 🤔.
Punguza ulevi ndugu,
chunga jamii yako eee,
watateseka buruuree,
kwa ajili yakooo...
Mimi si mlevi lakini sikatai pombe inaniharibiaga bajeti zangu si Mara moja. Uyu Mzee aliniona, nikinywa bia na pesa ya Kodi. Uu mziki unachapa kivingine banae, unachoooma, mpaka bia ( kitu cha pili kwa utamu ulimwenguni, cha Kwanza mnakijua 😁😁😁) ikanishinda. Nikaamka, nimetakasika, Kesho nitaamka na hasira nikalijenge taifa langu la Jamuuri ya Muungano wa Tanzania..
Vumilia ndugu,
maisha magumu eee!!,
dunia ........🎶🎶🎶
Mimi huyoooo