Ngumu kuwaelewa wasichana...

Ha ha ha!... Nimechelewa kupata taarifa zako, wewe mwenyewe wajua zingenifikia mapema ningekuanzishia...afu mgonjwa wangu bado afya haijakuwa nzuri, ongezeni kumwombea..
Tutaendelea kumwombea...mpe pole sana. kwa sasa anasumbuliwa na nini?
 
Ha haha,
hata wewe wataka?

Haya pole!
hahaha lol..ningeazishiwa hiyo thread watu wangechekelea badala ya kusikitika...haswa watu wangu wa kule kwenye polotiki
 
Mmmh!may be ningejua umri wenu,jinsia yako na staji ya huo uhusiano ningeweza kusema chochote coz naona imekaa kipyupil sn!
 
Mmmh!may be ningejua umri wenu,jinsia yako na staji ya huo uhusiano ningeweza kusema chochote coz naona imekaa kipyupil sn!

1. Jinisia yangu; ME
2. Uhusiano wetu ;NORMAL FRIENDS.
3. Our Age; ABOVE 20 below 30.
 
labda huwa haogi ndo maana kakasirika...........

ila zungumza nae, mwambie unavyoshindwa kumuelewa na akueleze sababu za kukasirika...
 
duh...
kazi ni kwako
 
Wanawake hawakui!Ukiuliza umri unakua unapoteza muda!
 
Seems to me you just want to take an advantage of her but you are not ready to spend anything to get her.
USIONE VINAELEA VIMEUNDWA. ANZA NAWE KUVIUNDA NA UTAVIFAIDI.
 
Kuna mwanajamvi mmoja humu alisema kuwa mtu mke usitake kumuelewa (kwakuwa haeleweki )we mpende tu.
naomba nkushrikishe katika kukubaliana na mwanajamvi(jna lake limentoka)
 
Kuna mwanajamvi mmoja humu alisema kuwa mtu mke usitake kumuelewa (kwakuwa haeleweki )we mpende tu.
naomba nkushrikishe katika kukubaliana na mwanajamvi(jna lake limentoka)

heeeh... Hii kali!
 
Hapo mpaka hisani ya watu wa marekani ndo utawaelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…