Ngumu kuwaelewa wasichana...

Ni vigumu kuwaelewa 'wadada' kwa sababu moja tu: Ni kwamba hata wao huwa hawajielewi!
 
Amekupigia simu akakuuliza unafanya nini? wewe ukamjibu naenda kuoga akakasirika, jibu lako halikuwa sahihi hata kidogo kwani kwa muda ule hukuwa unaoga ila ulikuwa unaongea nae which means palikuwa na nafasi ya kumkaribisha kuja kwani hukuwa unaoga, kama yeye alikasika kwamba hukumkaribisha basi msuburi aje kama hayuko mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…