The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Kama upo karibu au unaweza kufika eneo husika unakaribishwa nguo za mtumba hazikaguliwi kwa picha kama upo serious na biashara.Picha iko wapi ya hicho kiloba cha nguo?alafu unasema hizi.
Nguo ndio hizo hapo zipo ndani ya fremuPicha iko wapi ya hicho kiloba cha nguo?alafu unasema hizi.
Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu[emoji2960][emoji848][emoji848][emoji848]hizo zizimue na zinazokuja mix utauza..huo mzigo ni mdogosana mtu kununua azunguke nao minadani
Sawa kabisa wahitaji wanakuja.Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu
Hii inawafaa wale wasio na mtaji wa kununua balo zima.
Elfu 50 inatosha sana kwa kijana kuanza kupambana mtaani kuliko kukaa chini kusubiri mtaji wa mamilioni.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app