malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 775
Tuwe tunajitathmini kabla ya kuvaa hili vazi mana utakuta mtu kwapa jeusi,anavuja mijasho,hajanyoa au kwapa lina mamichirizi hata kama umependeza kiasi gani hizo huenda zikawa kasoro za utanashati wako. Vaa vazi ambalo linaendana na maumbile yako acha fasheni zikupite tu kama huwezi kwenda na vazi linavyotaka.