Nyacheri Member Joined Jul 2, 2021 Posts 29 Reaction score 87 Jul 5, 2021 #1 Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara.
Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jul 7, 2021 #2 Sawa wanakuja kukupa utaratibu...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 7, 2021 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,685 Reaction score 3,552 Jul 8, 2021 #4 Nyacheri said: Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara. Click to expand... Nguo za Aina zipo na za kutoka nchi gani kwa mtaji wa Tsh ngapi?
Nyacheri said: Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara. Click to expand... Nguo za Aina zipo na za kutoka nchi gani kwa mtaji wa Tsh ngapi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 8, 2021 #5 Nyacheri said: Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara. Click to expand... Agiza Alibaba utapata in bulks tena kwa bei poa kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app
Nyacheri said: Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara. Click to expand... Agiza Alibaba utapata in bulks tena kwa bei poa kabisaa Sent using Jamii Forums mobile app