Nguo na Mitindo ya Zamani ambayo kwa sasa ukivaa ni kituko

Joined
Jan 27, 2013
Posts
36
Reaction score
7
Ninafanya utafiti kwa hiyo naomba mfano nakumbuka travolta, viatu vya raizon, eh nyingine.
 
Ziko,MichaelJackson,mashati ya Juliana,suruali zenye malinda(celebration)raba za kuchumpa au Benque,sketi za malinda,suruali bagi upane wa simu motorola kubwa tulikuwa tunaziita Mobitel
 
Shati la ndege, moro shoes, tinabuu, dontach (don't touch), asante mchaga kiatu, safari boot na viatu vya mataili ya gari
 
Kulikuwa na mafuta fulani hivi ya kwenye mkebe, yalikuwa yanaitwa YOLANDA Ulikuwa ukijipaka unanukia wiki nzima...kwa wa2 wakawaida waliwa wanajipaka Ashes, Ashanti au Rays. Daah long kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…