Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Tunakukumbuka na tutakukumbuka daima,
Kamanda Ben Saanane
 
Mungu ailaze roho ya huyo kijana mahala pema peponi. Mungu atamlipa kila mtu kwa anayoyafanya. Kwa Mungu haki haipotei
Hivi unafikiri Mungu huwa anashughirika na wapumbavu kama huyo kijana?, mungu ana kazi nyingi sana, kama wewe unashindwa kujilinda na kujiheshimu, itakula kwako
 
Haki inabidi itendeke!! Watu wawajibishwe
 
Nilipoisoma miaka iliyopita nilidhani atarudi, sasa aliyetoa amri kapotea naye hivyo ndo imekwisha.
Ben tulikupenda saana tena saana ila waliozaliwa siku ya kuivisha warwa walikuona huwezi ishi ingawa yawezekana wewe bado unateswa pale St. Peter kwa chini wakati mwenzio kakataliwa hata na Gabriel labda apige mlango kwa Rusifer.
Rip kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…