Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Wachache watakuelewa. JfPython alimbana kisha akamvua nguo na kummeza!!
kweli, si vizuri kukomalia hadi maiti, hebu ogopeni Mungu.Kama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?
Saf sana bora wew hujawa mnafikiSi kila kitu unauliza ...tafakari
sent from this unknown device
kweli, si vizuri kukomalia hadi maiti, hebu ogopeni Mungu.
Sasa nimeshaiamini hii story ya britanicca . Lakini kinachoshangaza ni kwamba habari hii haifanyiwi kazi. Kwanini serikali iko kimya na kuna watu tayari wana taarifa za kifo chake?Mdude amepatikana
Damu ya Mtu huwa haipotei ipo siku watajitaja tu hata wakikimbilia MAKANISANI msamaha hautokuwepo adhabu itawakuta tena hapahapa Duniani.
"Yoyote atakae tupinga tutambomoa" dah mfalme aliunguruma akiwa kwenye kasiri siku alipokuwa anawekwa wakfu..
Duu, RIP!
Ndio maana wanataka kukimbilia DodomaDamu unaimwagia ndani ya Ikulu si umeiletea laana hii nchi.
Ndio maana tumeihama tukakimbilia kwingineDamu unaimwagia ndani ya Ikulu si umeiletea laana hii nchi.
DuhKumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.