Nguo ya harusi

Nguo ya harusi

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Natarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and sensible.
Je laki moja naweza shona hiyo suti? Naomba ushaur zaid
 
Upo mkoa gan? Kama unaweza njoo Dar Suti zipo tayar madukani unapata safi Tu huna haja ya Kushona
 
Rahisi itakuponza.
Zipo suti mpaka za kuzikia. Haifuliwi maana kitambaa ni hafifu sana ila kwa macho utapendeza.
 
Natarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and sensible.
Je laki moja naweza shona hiyo suti? Naomba ushaur zaid
Kama uko Dsm waone SIOK COUTURE wako pale nje ya kituo cha mabasi cha Mawasiliano natumai shida yako itaisha mkuu.
 
Michangoo Hakuna udowezee Hapo?
 
Back
Top Bottom