Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Upo mkoa gan? Kama unaweza njoo Dar Suti zipo tayar madukani unapata safi Tu huna haja ya KushonaNatarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and sensible.
Je laki moja naweza shona hiyo suti? Naomba ushaur zaid
Kama uko Dsm waone SIOK COUTURE wako pale nje ya kituo cha mabasi cha Mawasiliano natumai shida yako itaisha mkuu.Natarajia kufunga ndoa siku si nyngi.napenda nivae suti ya blue, ila mie kipato changu ni cha chini kidogo kwa maana hiyo sitaweza nunua suti ya laki 5. Nataka nishone iwe simple, smart and sensible.
Je laki moja naweza shona hiyo suti? Naomba ushaur zaid