Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

So far so good....nice discussion!! Kuna comments zimenivunja mbavu mpaka basi!!!!
 

Aise!! umeongea hadi umenihamasisha Mkuu AshaDii
 
Mi napenda wangu avae ya pink,white au light blue yani hapo ananimaliza,nikiona tu ule mstar wa chupi lazima gem lipigwe ye mwenyewe anajua hivyo
 
From what I know, Nguo za ndani za mwanamke anayepaswa kuzinunua ni mwanaume kwa hiyo kama unatimiza majukumu yako ipasavyo utakuwa unamnunulia zile ambazo zinakupendeza wewe pia,,vivyo vivyi kwa mwanaume mpenzi wake anapaswa kumnunulia nguo za ndani hapo hapatakuwa na kelele.
 

Upupu tafuta njia yakujia humu
 
Vaeni rangi zote ila chupi jekundu na jeusi, kijani, njano...mmh! Labda ziwe bikini.
 
white na pink also black zinabamba...pia hutegemea na aina
 
Mbona hamzungumzii bra? Maana kuna rangi za chupi zingine kupatia bra yake ni kazi!
 
white na pink also black zinabamba...pia hutegemea na aina

I like black hasa ikiwa lace material ukamatch na black bra; the same goes to white n red; pink naona ni mabinti zaidi (virgins).
 
miye imradi chupi ya wife iwe na kale kaua kwa mbele sijui mnakaita ribbon it doesnt matter ni ya rangi gani
 
mimi napenda chupi ya rangi ya kijani na kwa mbele iwe na michoro ya njano ya jembe na nyundo na maandishi ya ((*
 
Kongosho mia napenda sana avae yenye mchanganyiko wa wangi za bendera ya taifa. Afu belt lake liwe blood red.[/QUOTE said:
Kongosho nakufurahia mara nyingi hunipa sababu ya kucheka au kutabasamu.
 
yaaaani hakuna kinachonifurahisha kama nikimkuta au kumwona akiwa amevaa ile aliyozaliwa nayo!!!haya maa artificial siyapendi kama nn
 
Nyeupe utamfulia?
Au unapenda zinavyong'aa tu bila kujua zinahitaji usafi wa hali ya juu?

sasa Lizzy jamani wewe unapenda nyeusi ili uwe mchafu/ usifue kila dk?????? umenitisha best........... embu fafanua kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…