Ninunulie mummyZinavutia mkuu π
We njoo huku kabla hujamaliza mshahara Champagnee
Wewe next year.... Sahivi ninunulie mm hizo t shirt za VNinunulie mummy
Ukija mjin hzo shopping ntakufanyia mpaka upagawe 1m haikutosh kwa shopping tu?Wewe next year.... Sahivi ninunulie mm hizo t shirt za V
Eeh mpaka nije mjini lini? Mpunga wako haujakomaa π kutoka huku bush bado badoUkija mjin hzo shopping ntakufanyia mpaka upagawe 1m haikutosh kwa shopping tu?