Nguo za kuvutia wanawake ni zipi?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Leo wadau wangu wa JF nimebaki na kupigwa butwaa baada ya kusikia principal akisema wanaume chuoni tunavaa nguo za kuvutia wanawake mmh sasa hata sielewi hizo ni nguo za aina gani.

[emoji23] Kama mdau wangu unazijua hizo nguo naomba niambie hapo chini [emoji1484][emoji1484] niwaelimishe na washkaji zangu.
 
Kwaivo bado mko paredi unasubiri majibu au
 
Supplementary inakuhusu na ukilegea una disqualify
 
HELA
 
nguo iliyobandikwa na misimbazi aka shuka la mmasai
 
Huko chuoni huwa mnafundishwa ujinga ee?[emoji41]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kwa sababu mademu wengi chuoni wako tu pale kujiuza na ndiyo maana wengi wao hawavai chupi makusudi.
 
Mwanamke anavutia akiwa hajavaa nguo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…