shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 215
Wakuu mimi nawaza kuanzisha biashara ya nguo za wanaume pamoja na viatu baada ya hili janga la Corona kuisha sasa naomba kwa wale waliopo dar wanipe connection ni maeneo gani hapo dar naweza pata izi nguo za mitumba na bei zake ni sh.ngapi pia kwa natshet ya manga yenye Cora na yasiyo na cora bei ni ngap
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app