BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 8, 2013 #1 habari zenu wandugu...... Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu....wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri? Natanguliza shukrani.....
habari zenu wandugu...... Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu....wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri? Natanguliza shukrani.....
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 8, 2013 Thread starter #2 ina maana humu ndani hakuna anayejua?