King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki,
Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida,
Pamoja na ukweli kwamba nguo hizi za mtumba haziepukiki kwa sababu bei zake ni rafiki kwetu, kuna baadhi ya nguo tunaweza kujitahidi kununua ambazo si za mtumba kama ifuatavyo,
1. SIDIRIA/BRAZIER
2. BOXER/CHUPI ZA KIUME NA ZA KIKE
3. SOCKS
4. SKIN TIGHT/NGUO ZINAZOBANA MWILI
Unaweza kuendelea kununua nguo za mtumba lakini jitahidi kuepuka kuvaa nguo za mtumba ambazo nimeziorodhesha hapo juu.