NGUO ZA MTUMBA {grade' A''ubora wa hali ya juu }KWA KINA DADA, MAMA NA WATOTO WA JINSIA ZOTE

NGUO ZA MTUMBA {grade' A''ubora wa hali ya juu }KWA KINA DADA, MAMA NA WATOTO WA JINSIA ZOTE

nguo

Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
28
Reaction score
7
wana jf poleni na majukumu ,napenda kuwajulisaha kwamba ninauza nguo za mtumba zenye ubora wa hali ya juu,nguo hizo ni za wakina dada,wakina mama na watoto wa jinsia zote.size zotezinapatika, aina ya nguo ni sketi, blauzi,magauni kwa ajili ya maofisini kanisani,msikitini, kwenye sherehe mbalimbali na pia casual,bei inaanzia elfu 10,000/=na kuendelea
ninapatikana sinza kwa remi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715405027au 0755405027.kwa wale wanaohitaji privacy wanipigie simu tukikubaliana watapelekewa mzigo hadi nyumbani iliwachague.kwa wakazi wa mikoani wpige simu twasiliane jinsi ya kuwatumia mzigo.huduma hii inapatikana siku zote za wiki.nyote mnakaribisha
 
Ngugu nguo, ujumbe umefika labda tu pamoja na namba ya simu uliyoweka hapo je hapo Sinza kwa Remy una frem au Banda la nguo au unauzia home kwako ? nataka J1 nimlete maa acheki maana bei uliyotaja hapo juu inaonekana ni affordable.
 
Peleka kwenye matangazo na ulipie sio unatngaza bure
 
Nauzia nyumbani ukifika kwa remi pigie simu nitakupokea karibu sana,
 
[QuUOTE=Husninyo;3686178]Haukopeshi?[/QUOTE]
mkuu tukikubaliana nakukopesha tuu usiwe na wasiwasi
 
ungeenda kwenye ukurasa wa MATANGAZO!
jamii forum in kurasa wa kila mtu ati!!!
 
tucheze mchezo. unikopeshe kwa riba niwe nakulipa mwisho wa mwezi. huna viremba?
 
@malila, unataka za aina gani nikakukopee kabisa. Lol!
 
sasa mwenzangu hapa umenikuna kunako, nitakuja next wk this wk niko safarini j1 but nataka pamba za watoto boys 2 na za kwangu mm mama yao ziwe za ukweli kimtindo.
 
Back
Top Bottom