Nguo za ndani zinapaswa kufuliwa baada ya kuvaliwa mara ngapi?

Hivi shule zimefungwa tena?

Post sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwanaume anayejitambua na anayetambua kuwa usafi ni sehemu ya afya ya mwili wake.....

Boxer au nguo ya ndani inatakiwa kufuliwa baada ya kuvuliwa....na uvaaji wake usizidi siku moja.....

Pia unatakiwa uwe na nyingi zaidi ili uwe huru katika kuvaa.....

Sio kama wale vijana wanavaa mpaka inasimama dede....
 
Ni baada ya siku ngapi au week ngapi chupi au kwa wanaume boxer inatakiwa kufuliwa baada ya kuvaliwa?
Siku moja tu tena kila unapooga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
This is intresting but very very serious...[emoji2] [emoji2]
 
kila unapovua na kwenda kuoga. . . yaani ukishaoga hupaswi kurinyu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…