shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 921
- 2,842
Ni baada ya siku ngapi au week ngapi chupi au kwa wanaume boxer inatakiwa kufuliwa baada ya kuvaliwa?
[emoji102] [emoji102] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kila baada ya dakika 15
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio PumbeErotion chief [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu lazima atapata PUMBUJERO
ile tabia yako ya kuanika chupi bafuni/chooni acha mara moja la sivyo hiyo papuchi itakuwa chakula cha fangasi!kila unapovua na kwenda kuoga. . . yaani ukishaoga hupaswi kurinyu!!