Nguo zangu hazikolei sabuni

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Habari zenu jamani....
Mwenzenu nikifua nguo yani hata hazikolei sabuni...hata nikifua lile povu la pili inakua bado haikolei vizur kiasi cha povu kutoka yani...
NB:- Huwa navaa nguo mara moja
-Huwa nafulia sabun ya unga(omo au aerial).....
-Huwa naweka sabuni nying tu ya kutosha...
Msaada jamani kwa anaejua sababu ni nini na nifanye nini...
 
Maji gani unafulia? Ya chumvi au fresh water?? Upo mkoa gani?
 

Huwa unasoma maelekezo kwenye lebo [za nguo] jinsi/ namna ya kusafisha?
 
Huwa unasoma maelekezo kwenye lebo [za nguo] jinsi/ namna ya kusafisha?
Hapana huwa sisomi...lets say zingne haziruhusu kufuliwa kwa mkono ila jaman ndo nguo zoteeee ninazonunua mm ziwe na mushkeli...BTW zingne hazina label e.g khanga...
 
Umeshawahi kuchepuka hivi karibuni??
 
Huwa hazitakati?
Zinatakata but crdhk ad nione povu....na kama nguo ina lets say doa(la muda huo huo...au muda mfup) had ntumie sabun nyngiii but still povu linatoka la kichoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…