Nguri wa hesubu msaada pls

Nguri wa hesubu msaada pls

E.l.ve

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
134
Reaction score
22
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
 
umeishia la ngapi? anyway tumia exchange rate ambayo inategemea duka na duka. Pakuanzia hiyo 2.7m ni 2,700,000 sasa izidishe na exchange rate ya kibongo
 
kwa haraka(sina hakika sana) 1usd ni kama 1600 hivi,na hiyo ni $2,700,000 zidisha na hiyo 1600...ukipata jibu chukua jibu zidisha na 20/100 apo utapata 20% ya huo mkwanja! kama huwez nikutumie akaunt namba yangu uziweke nikusaidie!!!!!
 
Mhhh . . . ! Utapeli huo,mwenzio hajui hesabu.
 
Mimi siyo mtaalamu wa hesabu ila ni mtaalamu wa lugha. Rekebisha hiyo hesubu iwe hesabu.
 
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls

$2.7m ni sawa na 4,320,000,000 kwa rate ya 1600 kwa $1 na 20% ni 864,000,000
 
sio tu hujui hesabu na kiswahili pia hujui,
wamejariwa#wamejaliwa,
nguri#nguli,
hesubu#hesabu. pia jifunze kuweka space katikati ya maneno yako.
ukiingia yahoo answers unakutana na maswali wanauliza watoto wa miaka 10 hadi 14 na hawakosei,wewe nina uhakika ni above 17 lakini huwezi kuuliza swali kwa lugha yako. UTAFIKA KWELI UNAPOKWENDA?
 
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls

Yaani nguli wa hesabu afanye hii? Kimsingi hii sio hesabu!
 
umeishia la ngapi? anyway tumia exchange rate ambayo inategemea duka na duka. Pakuanzia hiyo 2.7m ni 2,700,000 sasa izidishe na exchange rate ya kibongo

akishazidisha mwambie aniletee hayo mahela nimuhifadhie.
 
Huyu amepata zile mail zinazosemaga kunahela bank USD 2.7, mwenyewe (mzungu) amekufa kwenye ajali ya ndege na familia yake, kwa hiyo tugawane, yeye ameahidiwa 20% ya hiyo pesa akifainikisha zoezi la kuhamisha pesa hiyo, sasa ndo yuko excited.
 
na karibu anaibiwa huyo,yani mpaka amediriki kuulizia humu.
 
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls

Nimevutiwa na alivofanya huyu

$2.7m ni sawa na 4,320,000,000 kwa rate ya 1600 kwa $1 na 20% ni 864,000,000

$ 2.7m ambayo ni sawa na hela za kitanzania 4,320,000,000

20% ya $ 2.7m au 20% ya 4,320,000,000 ni sawa na 864,000,000

Jumla ya $2.7m na 20% ya $2.7m kwa hela za kitanzania ni sawa na 4320,000,000 + 864,000,000 = 5,184,000,000

Hivyo kwa hela ya tanzania jumla ni 5,184,000,000 mtaalamu wa lugha ya kiswahili anaweza kuiweka katika maneno badala ya tarakimu.
 
Hivi watanzania tutakua nyuma mpaka lini?? taani hadi kubadiri fedha ambayo nikuzidisha tu tena nisawa na hesabu ya darasa la 7 ambayo naamini muuliza swali kaisoma, pili sasa kuna web based calculator kama hizo minamba mikubwa inakuogopesha,

:focus:
inategemea unauza hizo $$ ama unanunua maana exchange rates zinatofautiana kwenye kunubua na kuuza kwa hapa kwetu.

pia mkuu siamini wewe una access na kiwango hicho cha fedha ushindwe ku calculate, kama umtumiwa E-Mail za fedha achana nayo mara moja
 
Back
Top Bottom