kwa haraka(sina hakika sana) 1usd ni kama 1600 hivi,na hiyo ni $2,700,000 zidisha na hiyo 1600...ukipata jibu chukua jibu zidisha na 20/100 apo utapata 20% ya huo mkwanja! kama huwez nikutumie akaunt namba yangu uziweke nikusaidie!!!!!$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
Mhhh . . . ! Utapeli huo,mwenzio hajui hesabu.kwa haraka(sina hakika sana) 1usd ni kama 1600 hivi,na hiyo ni $2,700,000 zidisha na hiyo 1600...ukipata jibu chukua jibu zidisha na 20/100 apo utapata 20% ya huo mkwanja! kama huwez nikutumie akaunt namba yangu uziweke nikusaidie!!!!!
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
Hesubu??[/QUOTE]Kwenye red ni Hesabu.
Mimi siyo mtaalamu wa hesabu ila ni mtaalamu wa lugha. Rekebisha hiyo hesubu iwe hesabu.
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
umeishia la ngapi? anyway tumia exchange rate ambayo inategemea duka na duka. Pakuanzia hiyo 2.7m ni 2,700,000 sasa izidishe na exchange rate ya kibongo
na karibu anaibiwa huyo,yani mpaka amediriki kuulizia humu.Huyu amepata zile mail zinazosemaga kunahela bank USD 2.7, mwenyewe (mzungu) amekufa kwenye ajali ya ndege na familia yake, kwa hiyo tugawane, yeye ameahidiwa 20% ya hiyo pesa akifainikisha zoezi la kuhamisha pesa hiyo, sasa ndo yuko excited.
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
$2.7m ni sawa na 4,320,000,000 kwa rate ya 1600 kwa $1 na 20% ni 864,000,000
na karibu anaibiwa huyo,yani mpaka amediriki kuulizia humu.