Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Labda ungesikiliza pia hotuba ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Dr Rwaichi, ili utoe opinion yako.
 
Hivi alikiri imani ya kanisa moja, takatifu, katoliki, la mitume aliporudi kusali baada ya kwenda kwa TB Joshua?
Ila inakera kutumia platform ya kanisa wakati wa misa kulihutubia taifa, nchi hii haina dini.
 
Ya kuambiwa weka kando.Weka ya kwako.Things Fall Apart.,A River Between.
 
Nilitarajia ili kutoka kwako...
Mungu yupo mahala popote ..sasa ya nini kuzunguka na mitutu ,mabomu na convoy kubwa wakati unamtumainia Mungu.
Uhuru Kenyatta, jumapili kama hajaamka na hangover anaendaga kanisani bila hata ulinzi aki drive like Benz wagon lake,yani kwa raha zake.
 
Mbona enzi za utawala wa Mwalimu alikuwa ahutubii kanisani,alikuwa akienda kusali kama muumini mwingine Wa kawaida.

Huyu Wa sasa ameteka mihimili yote minne dah.
Mbona ujiulizi enzi ya Nyerere ulijifunga MKWIJI sasa unafunga mkanda?

Style za uongozi zinatofautiana kijana
 
Mleta mada mpuuzi fulani anatumika na MABEBERU.
 
Mbona ujiulizi enzi ya Nyerere ulijifunga MKWIJI sasa unafunga mkanda?

Style za uongozi zinatofautiana kijana
Kwa hyo uongozi ni sanaa kila Kiongozi anakuja na style yake sio?.

Kiongozi anatakiwa aongoze nchi kwa kufuata katiba iliyopo,style ya kwenda kanisani na convoy yote na mitutu sijaafikiana nayo Mzee.
 
Kwa hyo uongozi ni sanaa kila Kiongozi anakuja na style yake sio?.

Kiongozi anatakiwa aongoze nchi kwa kufuata katiba iliyopo,style ya kwenda kanisani na convoy yote na mitutu sijaafikiana nayo Mzee.
Sanaa pekee ndio ina style?
 
nimesoma nusu tu lakini nimekuelewa.. 😷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…