Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Andiko zuri sana, nilijisikia vibaya sana alivyo msimamisha mama mmoja akamsifia kua ni profesa ila ana kansa na amekatwa titi moja.
Naye prof.kwa kutojielewa akawa anacheka tuu, ila nimefurahishwa na paroko kwa jinsi alivyomchunia.
 
Wewe ni kiazi!!
Unaleta habari za kuhisi his zisizo na ukweli,
 
Kwenda kanisani au kutokwenda kwa mheshimiwa rais ipo kikatiba au haipo?

Au mheshimiwa kuongea kanisani au kwenye nyumba ya ibada kavunja katiba?
Inawezekana kavunja yeye ama kanisa limevunja.
Pale altareni alienda kama nani?,Rais?.
 
Na mimi nakuunga mkono kwamba hawa viongozi wa dini wanaoungana na huyu jamaa kula njama za kutuua wana kesi ya kujibu. Halafu hawa viongozi wetu tunashindwa kuwaelewa. Wanatoa tamko la kututahadharisha juu ya korona lakini hapo hapo wanamkaribisha wa kupinga lamko lao. Tuwaelewaje hawa viongozi wetu? Wakati mwingine unaweza kuamua kubakia tu nyumbani bila kwenda kwenye hizi nyumba za Ibada.
 
Sehemu ya uelewa wako umeishia hapo!!!

Usiyoyaelewa waache Wenye ujuvi wa hayo wakusaidie Ili uendelee kulopoka
 
Usichopenda kukisikia ndicho kinachosogeza maisha yako na Ili uendelee kulopoka
 
Mbona enzi za utawala wa Mwalimu alikuwa ahutubii kanisani,alikuwa akienda kusali kama muumini mwingine Wa kawaida.

Huyu Wa sasa ameteka mihimili yote minne dah.
Kipindi hicho pia Hapakuwepo wavaa vimini na vichupi mabarabarani, Maana yake, dunia ya enzi hiyo haipo tena, Jaribu kubadirika we dada
 
Kwenye majukwaa na kidini tunasikiliza misimamo ya kiimani, kwenye majukwaa ya kisiasa tunasikiliza misimamo ya kisiasa, kwenye majukwaa ya kisayansi tunasikiliza misimamo ya kisayansi, kwenye majukwaa ya Sangoma tunasikiliza misimamo yao ya kisangoma, kwenye majukwaa ya wanataaluma tunasikiliza misimamo ya kitaaluma. Tafadhali tusiingiliane!

Kwa nini wewe na imani zako za kichawi uzipeleke madhabahuni na kutulazimisha tuziamini imani zako?
 
Inawezekana kavunja yeye ama kanisa limevunja.
Pale altareni alienda kama nani?,Rais?.
Kumbe hauna uhakika?!

Kwaiyo katiba inasema raisi akiingia nyumba ya ibada anakuwa sio raisi?
 
msikilizeni huyu
 
Kipindi hicho pia Hapakuwepo wavaa vimini na vichupi mabarabarani, Maana yake, dunia ya enzi hiyo haipo tena, Jaribu kubadirika we dada
Asante mama Kevin ntabadilika.

Kwa hiyo unataka kusema sasa hivi kanisa halifuati ten misingi yake ya imani na kuheshimiwa kama zamani sio?,madhabau imekuwa ya kushare na wanasisa Wa ccm.
 
Yeye mbona analindwa hadi na helikopta?Naye tuseme kwa kuipenda nafsi yake hiyo ameshaipoteza? Maana kama hujipendi huwezi kujilinda kiasi hicho. Halafu lini amekuwa mtafsiri wa maandiko ya Biblia?
 
Hivi mimi nikichukua tahadhari binafsi yeye anakereka nini? Kama yeye hapendi kuvaa barakoa, asivae lakini asiwakataze wengine! Uhai wangu ni zaidi ya matakwa ya JIWE
 
Asante mama Kevin ntabadilika.

Kwa hiyo unataka kusema sasa hivi kanisa halifuati ten misingi yake ya imani na kuheshimiwa kama zamani sio?,madhabau imekuwa ya kushare na wanasisa Wa ccm.
Kina dada wachache na wewe ukiwamo, huwa hamuwezi kuelewa mambo, mna papalikia vitu msivyovielewa mkijidai kuelewa

Tulia dada hayo mambo yako nje ya uwezo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…