Ngurumo ya maalim Seif yafadhaisha wengi London

Babylon,
Hiyo Taboo na fedheha ipo kwa Wanasiasa na Watumishi wa serekali tena wale wa ngazi za juu, niliwahi kutoleana macho na mmoja nilipotumia jina Tanganyika badala ya Tanzani Bara. Watu hao wapo na sisi tupo tnaojivunia Utanganika sitaona aibu wala kusita nitakapoitwa MTANGANYIKA.
 

Wacha upuuzi wa kuwachanganya na kuwadharau watu wote wa visiwa vya Zanzibar. Je nikikupatia mfano wa mchaga au mmakonde anaeomba huko ughaibuni? Je nikikupatia mfano wa Mhaya ambae hajaenda shule? Je nikikupatia mfano wa Mhehe anayepokea msaada kutoka serikali ya Uingereza? Will that be enough to bust your stereotype bubble?

¬K
 

hoa wazenj unaowaita lazy people, naona kama una jindanganya nasfsi yako...hawa watu wameona mbali sana na hivi sasa wanainunua dar es salaam ,kidogo kidogo...baada ya miaka kadhaa wataimilki dar es salaam yote...sasa watanganyika wakiamka wataitaka dar es salaam yao...na hapo watakapo sema basi watarudisha dar,,na wao wapewe nchi yao.
 
katika watu hao mia 300 waliokwenda kwenye mkutano wa maalim seif wapo ambao wanajidai kwamba ni asylum seeker kutoka burundi,somali,uganda. .wamedanganya uk immigration officers kwamba wanatoka nchi hizo .cha kushangaza then unakwenda kwenye mkutano wa kizanzibari how stupid is that?
solution ya muungano ni serikali 3 .simple and clear .zanzibar ,tanganyika na union government .chokochoko zote zitapungua .union government ishughulikie wizari ya ulinzi na mambo ya ndani pamoja na sarafu .seperate foreign affair,finance,revenue and customs .
 
Muunguja,
Hilo pendekezo la Serekali 3 lilitolewa zamani toka Mwl. JKN yupo nae alilipinga vikali na ikabakia hivyo. Serekali ya Tanganyika imepotelea ndani ya serekali ya Muungano. Na serekali ya Zanzibar hatuna uhakika kama kweli ipo au ni kivuli tu. Kwani Serekali inayofurukuta ni hiyo ya Tanzania.
 


b before you think of how you would like to die...think of how you will live before you die...
wazanzibar hawataki muungano kwa sababu za kisiasa...mimi nawaelewa vizuri ...wanataka zanzibar iongozwe na wazanzibar wenyewe na sio, lowassa, makamba ,kikwete ,chilingiti au nyerere...hata kama tanzania itaungana na kenya au uganda na baada ya muungano hali ikawa mbaya ya kimaisha , nadhani hata wewe utadai kuvunjika kwa huo muungano...let's be fair here.
kwanini watu wanafariki kila unapofanyika uchaguzi zanzibar ? kwanini ccm ipeleke jeshi zanzibar , kutishia watu wakubali matokeo ya uchaguzi ambayo sio halali?...je ,wewe hili halikuumi? au ndio nyinyi mnao pewa pombe na sahani ya ugali halafu uchague ccm? ivi lini mtafungua macho? kwanini wazanzibari wasidai haki zao. kama wewe unauza haki yako kwa pombe, hiyo kivyako lakini usimzuie mtu mwengine kudai haki yake...
 
mimi ndio nimechoka na hii nchi ...bado inaongozwa na eti na mawazo ya mwalimu nyerere as if he was a saint "nyerere" .hii nchi inahitaji kuongozwa na vijana ambao wanakubali mabadiliko...sema bado tanganyika watu wana usingizi mzito...solution ni serikali 3, kama haiwezekani na huu muungano uwe basi...tumechoka.
 

nyerere alikuwa na agenda yake ndio mana hakutaka serikali 3 ,the main reason is to wipe out zanzibar out of the world .alitaka zenj iwe kama mkoa .tatizo la tanzania bara nyerere alionekana kama mungu mtu hakuna aliempinga mawazo yake.si jambo baya hata kidogo kuwa na serikali 3 kwasababu hii itaondosha chokochoko kwenye masuala ya TRA na international aid .
wazanzibar wanahisi kwamba misaada ya tanzania inayopatikana kutoka nje zanzibar haipati fair share ,then watanganyika wanahisi kwamba wanaibeba zanzibar kwneye masuala ya uchumi ,vilevile TRA wanachukua mapato kutoka zanzibar but no benefit in returns .
solution ni serikali 3 .tuwache mawazo ya DICTATOR NYERERE
 
Muunguja,
Mwalimu kaondoka madarakani takribn miaka25 iliyopita na kaiacha Dunia miaka 10 iliyopita. Warithi wake pande zote mbili wameshikilia kauli ya kuulinda Muungano nadhani katika hali hii ulionao. Je ipo dalili ya serekali tatu?
 


Nadhani wengi wa wasikilizaji/audience walikuwa wapemba wenzake, stowaways.
 
Nadhani wengi wa wasikilizaji/audience walikuwa wapemba wenzake, stowaways.
Mwanjelwa,
Siwezi kuthibitisha dhana yako, kwani tuliingia ukumbini bila kusajiliwa wala kuulizwa Asili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…