Nguruwe akila pilipili anakufa?

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
 
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
yani akila pilipili moja anakufa hachukui round kbsaa , ni hatarii
 
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife?
Msaada tafadhali ndugu wafugaji
Hafi ila anatoa sana udenda ambao humfanya akose raha atahangaika sana.
Binafsi niliwahi fanya hivyo wa jirani kwa kweli alipiga kelele kutwa nzima.
Na nikamwingizia ule mlingoti wa jani la gimbi kule kwenye ishu yake ule muwasho lile banda nililionea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajaribu ili niwapunguze, huwa wananipa kero niwaonapo.
 
Hawezi kufa,labda sijui umpe kiasi gani manake too much of anything is harmful.
 
Mhh una roho mbaya weweπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…