Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Sep 18, 2021 #21 Cannabis said: Nguruwe anakula chochote hata banda lake akiwa na njaa analitafuna, sidhani kama pilipili inaweza kumuua Click to expand... Anakula hadi nyoka na sumu yake bila kudhurika sembuse pilipili.
Cannabis said: Nguruwe anakula chochote hata banda lake akiwa na njaa analitafuna, sidhani kama pilipili inaweza kumuua Click to expand... Anakula hadi nyoka na sumu yake bila kudhurika sembuse pilipili.