Nguruwe si mchafu Bali mfugaji ndo mchafu

Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza!

Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako


Britanicca
Asante sana ila wakati mwingine wote wanakuwa wachafu.
Hapa tunamlaunu nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…