Nguruwe wa mbegu na nyama

Nguruwe wa mbegu na nyama

MalafyaleP

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
187
Reaction score
387
Wana jf,
Kwa wale wanaohitaji nguruwe wa mbegu na nyama:
1.nna nguruwe zaidi ya 10 wanaofaa kuchinjwa kwa kitoweo
2.nnao madume wa miezi 7-8 ambao wanafaa kwa mbegu au nyama
2.wapo pia majike tayari kwa mbegu na nyama pia.
Nna fuga karibu na mikese-morogoro;km 2 tu kutoka morogoro road.
Ninafuga crossbreeds za large white/saddleback/landrace.
Kwa mwenye kuhitaji ni-pm tafadhali
 
nilikuwa nahitaji dume la mbegu na jike la mbegu...unauzaje...nipo bagamoyo karibu na Baobaob sec...ni inbox kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom