Wana jf,
Kwa wale wanaohitaji nguruwe wa mbegu na nyama:
1.nna nguruwe zaidi ya 10 wanaofaa kuchinjwa kwa kitoweo
2.nnao madume wa miezi 7-8 ambao wanafaa kwa mbegu au nyama
2.wapo pia majike tayari kwa mbegu na nyama pia.
Nna fuga karibu na mikese-morogoro;km 2 tu kutoka morogoro road.
Ninafuga crossbreeds za large white/saddleback/landrace.
Kwa mwenye kuhitaji ni-pm tafadhali