Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 113
Habari za hapa wanajamii forum!!
Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi yamekua karibu urefu sawa na titi pia yamehamia titi la pili.
Nilipata ushauri wa Dr wa mifugo na amemchoma sindano lakini sioni uafadhali wote tena ndo zinaenea kwenye matiti mengine.
Kama kuna mwenye kujua au amekutana na changamoto hii naomba msaada.