Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 495
Vijana,wazee,vikongwe na hata kina mama waliokua wameuchoka huu utawala wa mabavu wa bwana Monirich, wakiwa hawana chakula, mavazi na marazi waliamua kujikusanya siku hiyo asubuhi na kuamua kuandamana ili kuyapeleka malalamiko yao kwa watawala ambao walikua makatili sana kwenye nchi hii ,kila mmoja alikua yuko tayari kwa lolote jambo lililoonyesha wote waliucho unyanyasaji waliokua wakifanyiwa na serikali hii ambayo haikua sikivu.
Hata hivyo pamoja na kukusanyika kwa wananchi hao haikumfanya raisi huyu katili kua na busara ya kuwasikiliza na kuongea nao ilikujua kwanini wamechukua uamuzi huo, badala yake alilijaza jeshi lake katili mitaa yote
Nitamalizia kesho mana hapa nisha kunywa tayari