Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
"I can't believe that God is playing the game of dice with the world" by Albert Einsten.
Wakuu wasalaam,
Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika,Kuanzia karne ya 19 hadi sasa kumeshuhudiwa maendeleo makubwa katika nyanja zote za maisha,kwa mfano ugunduzi wa simu,ndege,organ transplant,kompyuta,picha mnato na ujio wa mitandao ya kijamii na mambo mengine mengi.
Swali la kujiuliza hapa ni kwanini hizi teknolojia zimegundulika karne hizi?,kwanini smartphone haikutengenezwa kipindi cha Yesu?sasa hivi tungekuwa na picha halisi za Yesu,kwanini suamarine haikutengenezwa kipindi cha Nuhu?maana watu wengi wangepona kwenye ile gharila kuu.
Je anayeruhusu ukuaji wa teknolojia ni Mungu,shetani, aliens au mwanadamu mwenyewe?
Biblia inaeleza kuwa Sulemani alikuwa na akili kuliko watu wote,kwanini hakugundua hata memory card?(naamini alikuwa na uwezo mkubwa)
Swali la mwisho je sisi tuna akili kuliko watu wa kale?
by %Sir Khan,Born 2 win%