Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Mkuu umenikumbusha chuoni tulipokuwa tunasoma forex trade niliwahi kumuuliza mwalimu wangu darasani kama chumi za nchi duniani zina be controlled kupitia interbank foreign exchange market je itawezekanaje uchumi wa Tanzania UJE Kuzidi uchumi wa USA???.
Kupitia mfumo huu USA akitaka Tanzania uwe masikini mpaka mwisho wa dunia itakuwa hivyo! maana nchi kama Tanzania huwezi kuwa na reserve nyingi za ku control uchumi kila siku
 
Kuna watu wapo humu shule walikimbia sasa wakiambiwa hii biashara inataka mtu asome pia ndo utata unapoanzia yaani mambo yanakua ni motoo

Badala ya kujifunza anakuja ku hate na kukatisha wengine tamaa kama uwezo wa kichwa chako na kipato chako ni wa kuleta mahindi toka huko nanjilinji sibasi fanya hiyo hiyo huku kwenye forex siyo size yako.
 
he he heeeeeeeeee
 
Chiefs,

Twende kwenye uzi wa kifo cha Rais JF Kennedy kule nimeweka kitu... Sehemu ya mwisho. (Sehemu ya Pili kutoka mwisho actually)
Kwema,samahan ndugu nilikuwa naomba kama una story ya Bermuda triangle utuletee uku
 
Mkuu uko vizuri, nimekuelewa sana uchambuzi wako

Namkubali sana The Bold tangu ameweka bandiko mbili hapa za forex bado anazunguka tu mbuyu na mbwembwe kibao
 
SEHEMU YA PILI IKO POST # 518
Mbona kwangu haifunguki? Naomba anaejua anielekeze tafadhali.
Kila post/comment ina namba, kama hii yako ni namba 563, so rudi nyuma hadi post 518 ndo utakuta huo muendelezo.
 
We jamaa ni mnafiki sijawahi kuona hapa duniani. Yani kinachokuuma ni watu kuwashawishi wenzao kupata ujuzi mbadala katika kutafuta mafanikio!!! Mtanzania halisi wewe
 
Kwa sehemu hii ya pili naona Haters wanaanza kukubali taratiiibu
 
NAIPATAJE POST [HASHTAG]#158[/HASHTAG] ILI NIENDELEE KUFAIDI UHONDO WA MR BOLD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…