Hapo tu utaona utofauti wa nchi zetu na za wenzetuInakuwaje Huyu George Soros hakuuawa ....?
Hivi mtu kwa Hali ya Kawaida Unawez kuuzorotesha uchumi wa Tanzania kwa Mfano halafu wenye mamlaka Wakakuacha Hivi hivi kweli..... The bold
Hapo tu utaona utofauti wa nchi zetu na za wenzetu
badala mjue what happened na imekuwaje kawazidi akili watu mnaua...haifuti fact kuwa mmezidiwa maarifa
Bila shaka chief
Pole sana.Amazon iliniliza milion 3.5 sina hamu na haya mambo mimi, sitokuja kurudiaaaa!!
muda kidogo nduguMkuu umeanza kufanya mining ya Pie kwa muda gani sasa?
Umefikisha ngapi mkuu?muda kidogo ndugu
2300.61+Umefikisha ngapi mkuu?
YapHii thread yake nitasoma kila episode, nimejitahidi sana kusoma kuhusu FOREX nakosa muda ila mtiririko huu nitajitahidi kusoma ila kwa mbali naona HITIMISHO LAKE.
Huu uzi ulikuwa ni kama Yohana Mbatizaji. Kuandaa watu ili wawe tayari kwaajili ya machinjio.Itoshe tu kusema huu uzi uliongeza idadi ya "Wapigwaji" in the name of FOREX
Na hao madogo wanapatikana wapi?Ushauri wangu kwa wanaotaka kudeal na forex, tafuta dogo mmoja unayemwamini umpe akaunti awe anairun halafu wakati unajifunza taratibu wewe wekeza kwenye crypto currenciesView attachment 2027831
Wengi ni wapigaji tu,Jipe miaka mitano ujifunze forex then utrade mwnyw,hutajutia,vitu vianapatikana online for freeNa hao madogo wanapatikana wapi?
Wewe umepata nini kwenye hiyo forex?Wengi ni wapigaji tu,Jipe miaka mitano ujifunze forex then utrade mwnyw,hutajutia,vitu vianapatikana online for free
Pesa,uhuru,nimejifunza kuwa mvumilivu,nimekua bora zaidi ya nilivokua 5 yrs agoWewe umepata nini kwenye hiyo forex?
Kuna madogo wengi wamekua inspired kufanya forex siku hizi. Mimi kuna mdogo wangu aliyemaliza ifm akaamua kuzama kwenye forex mpka sasa anakimbiza na Wanae na mambo sio mabaya sana View attachment 2027954View attachment 2027956View attachment 2027955View attachment 2027957Na hao madogo wanapatikana wapi?